KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Wednesday, March 25, 2015

HOFFY PRODUCTION YAONGEZA VIFAA VYA KAZI.

Namshukuru Mungu mana pasipo yeye hakuna chochote ambacho tunakiona na kukifanya. Nime pata neema tena ya kupata baadhi ya vifaa kwa ajili ya production. Sio vifaa vikubwa sana ila ni vyema kumshukuru Mungu hata kwa vidogo ambavyo amekupa. Hoffy Production inajipanga kuachilia kazi mpya ambayo hivi karibuni tutaanza kazi.
 Stand za taa.
 Hizi ni baadhi ya taa ambazo tutazitumia.
 Ashrack camera man wangu akihakiki camera kama iko sawa
 Hapa anaifungua kwa ajili yakuisafisha kamera.
 Akiwa kwa majaribio...
 Majaribio yanaendelea
 Pozi kidogo mana hatuna haraka kila kitu taratibu kabisa


 Akichukua baadhi ya clip kwa majaribio
 The one mwenyewe nikihakiki kama iko sawa.
 Uhakiki kabla ya kazi ndio kitu muhimu mana usipo hakiki unaweza fika kazini mambo yakakataa.
 camera inasubiri kuanza kazi.

 Ikaingia zamu ya kuangalia taa
 Kwakweli hazikua na tatizo zote ziko poa sana.

 Nachukua nafasi hii kuwashukuru wote ambao tupo nao bega kwa bega katika kulisukuma hili jahazi na hasa famia ya mama Merry. Mungu awabariki sana.



Tuesday, November 4, 2014

The one na kitu kimya!


Namshukuru Mungu kwa sasa kua na kausafiri kadogodogo ka kutembelea maana maandiko matakatifu yanasema SHUKURUNI KWA KILAJAMBO. Hatakama ni kidogo ila kupitia kidogo Mungu ndo anaenda kukupa kikubwa nakushukuru sana Mungu kwa neema zako na upendo wako kwangu.

The one nikiutafakali ukuu wa Mungu.

Kagari kenyewe ndo haka ambako Mungu amenipa kwa kuanza nako!

Jamani hakajapita kwa mikono ya watu kamekuja moja kwa moja hadi kwamwenyewe.

Mbele kako hivi.


Hizi ndizo sit zake.


 Mtoto huyo!





Wednesday, April 16, 2014

HAWA NDIO TUNAO SHIRIKIANA KATIKA KUFANYA KAZI.

Ndugu wadau, hawa ndio wafanyakazi wenzangu ambao tunashirikiananao pamoja katikakufaya kazi za kijamii. Mimi nafanya kazi nyingine nje ya kazi ya usanii. Nipo katika kampuni ya Zanzibar Ocean Production ambapo tuna fanya kazi bega kwa bega na shirika la The Dina foundation. Tumeamua kwa pamoja kupiga picha za kumbukumbu nje ya mjengo wa office yetu.
 Tukiwa kwenye mlango wa office yetu.
 Pozi za picha.

 Tuna fanya kazi kama Jeshi. Maana tunashirikiana kwa chochote na kwalolote.
 Mtu nne!
 Dada wa katikati( Angela) akijaribu kufafanua kitu fulani kabla ya kupiga picha.
 Wazo lake lilikubaliwa na tukapiga hiviii!
Staff of The Dina Foundation, Zanzibar.