tim ya extra genius yaingia uwanjani tena kwa kufuana zidi ya timu ya ngangari
vijana haoooo wakipata picha kabla ya mechi kuanza
timu ya ngangari nayo ikipata bicha kwa kumbukumbu
kumbu kumbu kidogo
tukiwa tuna angalia mpira the one nijifatilia kwa makini kabisa
baada ya mpira ukisha kocha wa timu hii ambayo iko katika kijiji cha jumbi hapa hapa Zanzibar alisimama na kusema machache baada ya kufungwa na Extra 3:1.
baadae nikakaribishwa The one kwa ajili ya kutoa zawadi ya mpira kama unavyo ona.
baada ya hapo niliondoka na kuwa acha wachezaji wakiwa
wametayarishiwa msosi yaani chakula na wana
kijiji hao. hapo wako wana subiri.
Halima mmoja ya wasanii wangu aliona bora aingie jikoni
mambo ua kijijini hayo hamna ubishoo
watu wako wana tafuna sio mchezo
Ama kweli msanii huuvaa uhusika. kijana ameona apakue mwenyewe.
baada ya shibe hua ni balaa tu. cheki kijana wa kulia kama
kalewa kumbe shibe ya ubwabwa

kutokana na shibe hata viatu vilikua vizito.