KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Sunday, November 27, 2011

Saturday, November 12, 2011

WAJUE WATU HAWA WAWILI MAJINA YAO HALISI NA MWAKA WALIO ZALIWA

huyu anaitwa Li Lianjie ndio jina alilo pewa na wazazi wake ambapo alizaliwa mnamo  April 26, 1963 kazi yake yeye ni actor, film producer, wushu champion, na international film star alizaliwa sehemu inayo itwa Beijing. Ambae anajulikana sana kwa jina la Jet lee ambalo ni jina alilopewa kisanaa
ndio huyu jet lee hapa alipiga picha hii wakati ana tengeneza film ya fear less
hii nipicha ambapo inaonesha mikono alio iweka jet lee (Jet Li's hand print and autograph) huko Hongkong 
Nahuyu anaitwa Chan Kong-sang lakini anajulikana kama Jackie Chan ambapo alizaliwa mnamo 7 April 1954, Huko Hong Kong, China, yeye ni actor, action choreographer, comedian, director, producer, martial artist, screenwriter, entrepreneur, singer na stunt performer. kwa taarifa tu yeye kabla ya kuingia katika tasinia ya movie alikua ni mwana komedi kama Joty na masanja. ila kwa sasa ni mmoja kati ya wasanii wanao fanya vizuri huko Holly wood.
kija huyo kama umuonavyo na waandishi wakimzunguka. uchepe ndio moja ya yeye alivyo
paia yeye ni mmoja kati ya wasanii wachache walio bahatika kucheza film na Bluce lee enzi hizo kama unavyo ona movie hio ina itwa Fist of Fury
                           nembo hii ya Jackie Chan iko Holly wood
Jamani sanaa kwa wenzetu ni heshima unaona kijana akiwa na Obama katika mualiko wa chakula.eeeee
ndio hawa wawili ambalo ni maarufu na wana julikana kwa majina ya kisanii kama Jackie Chan na Jet lee.