KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Monday, December 10, 2012

MAHAFALI YA PHILTER FEDERAL SCHOOL YALIFANA SANA.

THE ONE nilipata mualiko wa kuhudhulia maghafali ya shule ya philter federal school iliopo melinne Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa salama holl Bwawani. Mahafali haya yalikua ya kidato cha nne na cha sita. Pia THE ONE nilialikwa na shule hii kufundisha igzo ambalo lili fanya vizuri siku hii na mi nilijisikia vizuri na kuamua kuchukua baadhi ya wahusika ili kucheza au kushiriki katika movie yangu mpya ninayo itarajia kuifanya hivi karibuni. Jiunge nami ili kuona baadhi ya matukio siku hio ya tarehe 09/12/2012

Ukumbi wa salama holl ulivyokua umejaa.


Wanafunzi wa kidato cha sita wakiwa wanatoa onyesho la kuaga wanafunzi wenzao.


vijana wakiwa wako serious na wanacho kifanya.


mwalimu mkuu wa shule hio akiwa anatoa lisala ya shule kwa mgeni rasmi.

akiweka msisitizo kwa jambo fulani


baadae mkurugenzi/mmiliki washule hio na yeye alipata wasaa wa kutoa hotuba. Mr, Mbaraka S. Hasoon



Waandishi wa habari wakiwa makini na kazizao


Vijana wa kitoa kitenda wili kwa njia ya maigizo kwakeli wali fanya vizuri sana mana kila mtu alifurahia kitendawili hicho


vijana wakiendelea


Hawa ndio wahitimu wa kidato cha nne wakiwa mbele kabisa




kitenda wili kikimalizika



baadae watoto wa nursery na sekondari wakatoa onyesho la ngoma ya kibati ambayo ndio maarufu sana hapa Zanzibar. Huyu alie vaa suti ni mwalimu mkuu wa shule hio akija kuwatunza baada ya kutajwa jina kwenye ngoma hio.


Vijana wakiwa wanatoa shoo kali


Mkurugenzi baada ya kutajwa jina lake alitoka katika meza kuu na kwenda kuwatunza


Mpiga ngoma anae julikana kama Four Shizo akiwa makini na kazi yake


Haya mambo hayooooo!


Meza kuu hio.

Umali wa watu waliokuwepo siku hio

Hawa ni wasichana walio kuwa wakiimba utenzi na kwakweli walikua na sauti nzuti pamoja na kua na ujumbe mzuri katika tungo zao.

Hawa ndio waliokua washereheshaji wetu siku hio

Vijana wa maigizo waliingia jukwaani. Katika igizo hili niliombwa ni wafundishe ili siku hii ifane nami nilijitolea kwa nguzu na juhudi zangu na kweli mambo yalikua mazuri sikuhio.

Hawa hapa vijana wangu

Haya mbo hayoooo! igizo likitolewa tafsiri kwa njia ya ajabu kisanaa kabla ya kuanza yani we achatu.

Mambo yakianza.

Haya hapa ni sehemu mfalme akiwa katika himaya yake ila mfalme huyu ni gaidi

Hii ni sehemu ya malikia na yeye pia akiwa katika himaya yake ambapo watu wana mfurahia kwa utawala wake

kazi hiooooo

eeeeh! kama umuonavyo malikia akiwa anatawala katika jukwaa bila ya woga na kwakujiamini

Hapa Mfalme akiwafukuza wananchi wake kwa madaha makubwa ambayo watu walibaki wakishangaa kwa manjonjo alio yafanya mahali hapa.


Watu wakiwa wanashangaa kwa burudani kabambe ilio tolewa na vijana

Malkia nae huyoooooo! akiwa amekamatiwa mic

Malkia aiingia katika himaya ya mfalme

Vijana wakiwa wamemaliza igizo

                                        

vija wakiaga na kuondoka

Baadae mgeni rasimi na yeye alisimama kusema machahe

Maswahiba wangu nawao walikuwepo Mr, Awich na Msokonde

Baadae ulifika wasaa wa kugawa vyeti kwa wahitimu

Mgeni rasmi na Mkurugenzi wakiwa wanaangalia vijana wanao pokea vyeti

Mwalimu mkuu akiwa na Sabah (mbasho) wakishuhudia matukio yote

Mr, Chonga kidato cha sita nae alipokea cheti siku hio

Wahitimu hao

Kama uonavyo walivyo pendeza Hongereni sana na Mungu awajalie mfaulu nyote

Picha ya pamoja ya kumbukumbu

Msanii wangu ambae alishiriki katika igizo.

Baadae wasinii walio pafom waka piga picha na mimi

kila mtu akiwa na raha pamoja na furaha.

kumbukumbu


Ericka nae alikuwepo


Kumbukumbu kidogo


Wasanii watarajiwa haooooooo!



Wasanii wa kizazi kipya pia walikuwepo

Nikiwa na mwalimu mkuu baada ya maghafali kuisha


Huyu ni mmoja ya waalimu wa shule hio almaarufu kama Binamu


Becka white ambae pia ni mwalimu aki weka kumbukumbu na Erica


Kushoto ni Sabah (Mbasho) kati ni Mkurugenzi wa philter na mimi tukitimiza utatu kwa kuweka kumbukumbu.


Hapa nikiwa kwenye gari mimi na Erica tukirudi nyumbani baada ya sherehe kuisha.


Azizi rafikiyangu ndio alituendesha.


Hapa nikiwa nimefika home.