KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Saturday, January 28, 2012

HUA SISEMI KITU ILA MAMBO YATOKEAPO NDO WATU HUSEMA WENYEWE

Kazi ikiwa inaendelea watu wakiwa na script zao kwa uyakinifu zaidi.
Watu wazima waki discus kidogo kuhusu script

The one nikipata chai kabla ya kuanza mambo fulani.

Kazi si mchezooooooooooo!

kazi hiyooooooo

Tuesday, January 17, 2012

MAMBO MAPYA

Hii ni ramani ikiwa ndio ina chorwa
 nikiwa na anachora kwa uyakinifu zaidi
 kazi sio mchezo kichwa kinauma na inatakiwa imalizike.
Hapo ndo hatua yakwanza ime kwisha

Monday, January 2, 2012

MKESHA WA KUINGIA MWAKA MPA ULIVYO KUA.



Ninamshukuru Mwenyezi mugu kwa kuweza ktusaidia na kuweza kuuvuka mwaka jana yaani 2011 na kuingia mwaka huu mpayaaaa wa 2012 ambao naamini ni mwaka wa mafanikio. Napenda kuwa tia moyo kua yalio shindikana mwaka ulio piata yanaenda kuwezekana nadi ya mwaka huu kikubwa nikujituma na kushilikiana.


Nilibahatika kuungana na wenzangu katika dua ya kuuombea mwaka 2012 ambapo watu walimiminika toka sehemu tofauti na kukusanyika kwa pamoja ili kuomba ambapo ilifanyika katika uwanja wa Maustun uliopa hapahapa Zanzibar.
hapa nikiwa na marafiki pembeni kidogo ya uwanja tuki badilishana mawazo kidogo
Badi ya polisi nayo ilikuwepo kwa ajili ya kudumbuiza na hapa wakiwa wanajitayarisha
viongozi wote waliokuwepo walipanda jukwaani na kusherehekea kwa pamoja mwaka mpya hapa ilikua saa 6:00 kingoza ililia na pashpash zika fuata
hapa ni wimbo wataifa ulipigwa live askari walikomaa na kukakamaa kwa kukaribisha 2012
   
                                        
Huyu ndio alikua mgeni rasmi kutoka katika Ofisi ya makamu wapili wa rais (alie vaa shati ya manjano)
 
 
 
 
MUONEKANO WANGU WA MWAAKA MPYA NIMEUANZA KWA KUONEKANA HIVI.