Ndugu zangu namshukuru mwenyezi mungu nilikua nasafari ndefu kutoka mashariki ya africa mpaka kusini mwa africa ambapo nilipita katika nchi mbalimbali na nimeona Mungu akinisaidia na kuni tetea pale ambapo mimi kama bina adamu kwa akili zangu nisinge weza. Nami sina cha kumrudishia ila ni kumshukuru kwa ulinzi wake na kunipa afya nzuri na mi wajibu wangu nikumtumikia tu katika maisha yangu..... hio picha hapo juu ni view ya jiji la Pritoria
The one nilipata mualiko wa chakula cha usiku katika hotel moja iliopo nje kidogo ya mji wa Pritoria.
eee! jamani shibe hio na kwakweli siku hio nilikula sio mchezo.
Pozi kidogo
Kulikua na vyakula mbalimbali ambavyo vimepikwa na kutoka katika nchi mbali mbali na hivi ni baadhi ya vitu ambavyo mimi niliamua kuvipiga picha ila kulikua na chakula cha kila aina.
BAADAE TUKAPATA MUDA WA PICHA.
Nikiwa na mwenyeji wangu ambae ndio alie nikaribisha katika haflahio
Picha ya kumbukumbu na rafiki.
Huyu anae salimiana na mtoto ni mchungaji wa kanisa ambalo ndio tulio fikia hapa South Africa
Nikipata picha na Lukas ambae ni rafikiyangu na pia aliwahi kunitembelea kwetu Zanzibar na aliwahi kushiliki katika tamthilia ya isidingo kama utakua unafatilia vipindi vya itv basi tamthilia hio itakua sio ngeni kwako.
Wakati tukiwa tumefika katika sehemu ambayo tulikua tuna ishi. nikiwa na mzee wang Kanagana.
Nikiwa na mwenyeji wangu bwana Travel
Tukiwa wote kwa pamoja
eeee! mambo ya tumbo hayo.
Tokea nifike hii ndio ilikua mara ya kwanza kuvaa kama hivi maana siku hio baridi ilipungua ikanibidi niweke kumbukumbu, maana jamani kuna baridi ni bora ukae kwenye friji.
Nikiwa nje ya nyumba nikilitafuta jua
Nikipata neno la Mungu maana ndio taa ya miguu yetu. eee kama unavyoona nikiwa natafakari kwa kina zaidi.
The one ndani ya South Africa