KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Thursday, September 20, 2012

The one nime fanya tena kazi na msanii mkongwe Zanzibar anaejulikana kwa jina la MAKOMBORA katika kazi hii mimi nimeshiriki kama director mkuu na nilitengeneza kazi hii na camera man wangu Ashrack kama mnakumbuka katika WHICH TOCTOR. hapo akiwa juu kwa kupata tangazo la Office ya Rais na utumishi wa uma.
Bango lenyewe ndio hili
Wahusika wakiwa nje wakiangalia kazi inavyo kwenda.
Huu ni mlango wa offisi ya muheshimiwa waziri kwa ndani kama uonavyo
Stori mbili tatu kabla ya kazi kama unavyo jua Makombora kwa uongeaji
Kamera man wangu akiangalia mazoezi kabla ya kazi
Makombora akipitia scrip wakati kazi ikitaka kuanza
The one na makombora
Office ilivyo ndio hivi mezani palivyo pendeza. manayake watu wanafanya kazi sio masihara
kamera mana wangu hapa aliona aweke taa yake japo taa nyengine zilikuwepo anadai ndio pozi lake
Huyu ndie mkurugenzi wa office hii. nae pia alifika kwa kuangalia kazi ikifanyika
Kwenye fani hii au kazi hii ushauri kabla ya kazi ni vizuri kwa ajili ya kufanya kazi iwe nzuri hapa Makombora akinishauli kitu fulani
Kazi imeanza
makombora na Kimti kazini
Kazi inaendelea
Nikifatilia kwa makini sana kazi inavyo fanyika.
Jaman udirector sio sifa u director kazi hapa namuonyesha vitu ninavyo vitaka mimi
Unaona kazi ilivyo hapa hakuna ubishoooooooooo
Tunaendelea katika sehemu zavalanda nikiwa kwa nyma kama uonavyo hapo ni actionnnn
Kazi inaendelea
Makombora akileta visa ukiwa nae kazini unaweza kucheka mpaka ukashangaa
Nikiweka kumbukumbu na mkurugenzi
Hapa tupo kwenye sine nyengine
Matayarisho na maoni mbalimbali kabla ya kuanza kazi tukisikiliza na kujadiliana kwa umakini ili tusiharibu kazi.

No comments:

Post a Comment