Kwa mara yakwanza katika maisha ya Pastor Philemon Obeid kupatwa na kitu cha mshituko ambacho kiliandaliwa zaidi ya mwezi mmoja nyuma bila ya yeye kujua na kujikuta akifanyiwa kitu kikubwa nyumbani kwake alichokua hakitegemei. tarehe 29 mwezi 01 ndio ilikua siku yake yakuzaliwa na yeye kutokana na harakati na majukumu yakikazi alisahau kwani ni muda alikua haja sherehekea sikuyake ya kuzaliwa. Mkewake mpenzi pamoja na wadogozake walikaa na kuandaa siku hio ambapo siku hio ilitua yeye akiwa yupo nje ya ya kwake kikazi ( alikua dar es salam ) na kwambinu nyingi na mikakati mikubwa alilazimika kurudi nyumbani huku hajui kunana nini na alipofika akakuta kuna watu wanamsubiri na wengine nimarafikizake wa zamani. Kwakeli ilikua sikunzuri na yakushangaza sana. Pata picha kidogo hapochini
Mavulontia nao ambao wanaishi kwake kutoka katika nchi za ulaya walipata kipande cha keki. Sherehe nzima ilikua nzuri siku hio nayakufanya. Nakutakia maisha marefu na yabaraka kwako kaka yangu,
Hapa akiwa ndio anaingia akapokelewa nawatu wengine kwa shangwe walimwagia maji.
Akicheka kicheko cha furaha na kushangaa.
Bishop Obeid Fabian ambae pia ni babayake mzazi akimkaribisha na kumpa hongera.
Bi, Ruth Obeid mama yake mzazi akimpa mkono wakati akiwa anaingia.
Meshack kushoto, Emmanuel Burushi na Sir Lameck Sandiko kulia waki wakifanya mautani kidogo.
Watu walizidi kufurahi
Raimond kulia na Yuda kushoto pia walikuwepo
Pozi kidogo
Wakati wakeki ulifika.
Mambo ya vinywaji.
Akiwasha mshumaa wa keki huku akiwa amesima miwa kwa makini kabisa na mwanae wakwanza Happy Philemon kulia.
Heave akiweka mambosawa.
Heaven kwa makini na uhakika akihakikisha hakuna kinacho haribika
Mambo hayoooooo
Hapa tayari keki ikikatwa ili watu waanze kuitafuna.
Kabla yakuanza kuitafuna Immani Gonzalenz ikabidi aanze kwa sala maalum
Watu walio kuwepo mahali hapo.
Hapo alikua akikata vipande vyakeki kwaajili yakulisha watu
Akilishwa Happy ambae ni mwanae wakwanza.
Akijiandaa kumlisha mkewake.
Eeeeeh.
Akiwa tayari amemlisha Baba yake Bishop obeid Fabian
Na mimi mwenyewe THEONE nilikuwepo hapa akijiandaa na mimi nikijiandaa kupata pande la keki.
Eeeeeeeee! Akimlisha mama yake hadi raha.
Theone nikipata keki kwakweli ilikua tam sijui ilitengenezwa nchi gani
Immani Gonzalenz pia akipata keki.
Neema mdogo wake naye pia
Raimond
Burushi
Tito kashakali
Meshack abdala akipata
Jackson Seleli
Pamoja na Lameck Sandiko. walipata wengi karibia ya wote walio kuwepo.
Mavulontia nao ambao wanaishi kwake kutoka katika nchi za ulaya walipata kipande cha keki. Sherehe nzima ilikua nzuri siku hio nayakufanya. Nakutakia maisha marefu na yabaraka kwako kaka yangu,
No comments:
Post a Comment