Baada ya kumaliza sherehe za Pasaka katika kanisa ninalo sali, waadishi wa habari wa kituo cha Z.B.C wali tufanyia interview kwa ajili ya mtazamo wa sherehe hio na kila mtu alichangia katika nafasi yake. Huyu ni Estar au Lightness ambae ni muimbaji wa nyimbo zainjili na kazi zake kwasasa anafanyia daresalam, yeye ndio alikua wakwanza na hapa alikua anajiandaa kabla ya kuanza.
haya one , two, action.
Akio ngea yake kwa hisia.
Hapa alikua anaonyesha msisitizo wa jambo fulani.
Baadae akaingia Rehema ambae ni muimbaji pia.
Akiwa anatoa yake.
Nikiwa nafatilia kwa makini sana.
Rehema akiendelea.
Haya zamu ya Jackson ambae ni mwanakwaya lakini pia ni msanii wa film hapa nchi nayeye pia alikuwepo.
Kijana akielewesha kitu vizuri.
Aliongea maneno mpaka waandishi wakawa wana shangaa kwa mpangilio wa maneno yake utafikili alijua kama atafanyiwa interview.
Akimalizia. Huyu kama mtamkumbuka ni mwanafunzi wangu na ameshirika katika movie zangu 3
Haya sasa na mimi nikijitayarisha kabla ya kuanza.
Hapa nasikiliza maswali kwa uyakinifu zaidi.
Eeeh! masisi tizo nikiyatoa yalio nijaa moyoni.
Naendelea kijana wa watu.
Kama kawaida utani kidogo.
Msisitizo wakipasaka wakati nikimalizia.
No comments:
Post a Comment