Tuna mshukuru Mungu wetu wa mbinguni alie umba mbingu na nchi na kumtoa
mwanawe wa pekee ili aje kutuokoa maana bila yeye hatujui leo
ingekuaje!.
Huduma ya ZAYOCE imefanikiwa kwa mwaka huu kufikia moja kati ya malengo
yake na kutimiza tarajio lililo subiriwa kwa muda mrefu hapa Zanzibar.
Tuna shukuru kwa wote walio changia huduma hii mpaka imefanikiwa kuweza
kufanya tamasha kubwa na laaina yake hapa Zanzibar, kwakweli ZAYOCE
tumeweka historia ya kwanza kuandikwa ndani ya visiwa hivi. tarehe
25/05/2013 yaani jana tulikua na tamasha kubwa na laainayake na mambo
yalikua mazuri sana na zaidi ya yote tuli toa Tuzo ya muimbaji bora wa
nyombo za injili zanzibar, kwaya bora na bendi bora.
Kwa ufupi angalia picha za matukio ilivyo kua.
Stage lilivyokua kabla ya mbilinge mbilinge kuanza.
Bendi ya ZAYOCE ikiwa tayari kwa ajili ya kuanza.
Baada ya kuanza zilikaribiswa kwaya mbalimbali.
Mchungaji Philemon wa K.L.P.Z naye alikuwepo na alikua ndio mwalimu wa
kwanza mana katika tamasha, unasifu, unasikiliza kwaya na waimbaji
mbalimbali kisha una pata neno.
Eeeeee! hapa vijana wa kazi hua hawatanii wakiwa stejini wakiwasha moto. sio wengine ni ZAYOCE BEND
Bishop, Dickson Kaganga na Mchungaji Philemon na wao waki sakata sebeni la Yesu
Huruma, mpigaji dram wetu matata akiwa makini sana katika kazi yake
Japhet vicent kama umuonavyo akiwa anapiga bass gitaa. Hapa alikua kweye filling za ajabu sana.
Mambo yakiendelea
Hapakaliki maana sebeni la Yesu litokalo kwa bendi ya ZAYOCE huwezi kaa.
Baadae ratiba ziliendelea kama uonavyo meza kuu hapo. Wakwanza kulia ni
Mkurugenzi wa ZAYOCE Mr, Emmanuel Obeid, anae fuata ni Mchungaji
Philemon na anae fuata tena ni Bishop Dickson Kaganga wote wakiwa
wanafatilia kwa uyakinifu zaidi.
Waimbaji binafsi wa nyimbo za ijili wakiwa wameanza. Wakatikati ni mama Mabumba na ndio ulikua wimbo wake.
Haya Merry Limo nae akafuata ( mwenye nguo yekundu), Huyu dada anajitahidi sana.
Muhudumu wapili, Bishop Dickson Kaganga nae alifuata.
Bishop, Dickson kaganya akiombe watu.
Roho wa Mungu akiwa anatembea ndani ya Tamasha
Kwakweli ilikua siku ya tofauti mana watu walibarikiwa sana.
Japhet akipiga bass wa hisia kati na mziki ukiwa taratibu wakati wa maombezi
Baadae sadaka na hapa mchungaji Philemon akiombea maana ibada kamili lazima ikamilishwe na sadaka.
Haya vija wa ZAYOCE kazini tenena.
Immani (kulia ) ambae ndio Music director akiwa anapiga keybord na kushoto ni Pita akiwa ana piga solo yaaaaaani we acha tu.
Hayaaaaaaaa! vijana wakiwa wamepamba moto. Anaweza kukuokoa, ndio wimbo ulikua ukidumbuizwa hapo live.
Baraka nae aliingia kuimba
Kijana matata sana huyu akiwa anaimba basi lazima utaburudika.
Baadae wakati wa tuzo ukafika na walianza kuitwa waimbaji 4 walio faulu kua waimbaji bora
Kisha kwaya 3 zilizo kua bora na bendi moja
Hawa wote ndio washindi walio shinda ila anae takiwa kupata tuzo ni
mmoja tu kutoka kwa waimbaji binafi na mmoja kutoka kwa kwaya na bendi
Mkurugenzi wa ZAYOCE akimkabidhi mgeni rasmi bwana Philemon Obeid tuzo ili amtangaze mshindi
Haya mshindi akitaka kutangazwa
Hapo mshindi akipanda juu Bwana Mussa Muhando
Mussa Muhando akipokea tuzo yake
Akisema machache kidogo
Mshindi wetu huyo. Hongera sana kaka Mungu akutie nguvu katika huduma yako.
Akisalimiana na waimbaji wenzake.
Mkurugenzi akimkabidhi Bishop Daniel Kwilemba ili amtangaze kwaya bora.
Hapo akimtangaza
Kiongozi wa kwaya ilio shinda kwaya ya Dole mdo ndio ilio ibuka mshindi.
Mweyekiti wao akisema machache kidogo
Bishop Danile Kwilemba pia alimtangaza mshindi wa bendi bora.
V.O.V Bend ilishinda na kiongozi wao alipata tuzo ya bendi bora
Akiipokea bila kuamini
Akisema machache.
Akiweka msisitizo juu ya suala fulani
Director wa Music akitoa shukurani zake kwa niaba ya wote walio husika na kufanikisha shughuli hii
Waimbaji wa ZAYOCE
Naibu katibu wa ZAYOCE bwana Japhet akizungumza na yeye machache.
Kamati ya ZAYOCE ikiwa jukwaani
Mkurugenzi akitoa na yeye yakwake kidogo
Immani Obeid ambae ndio director wa music alifunga tamasha rasmi kwa maombi maalum
Baadae wana ZAYOCE wakapata picha ya pamoja
Kumbumkumbu ya siku hii maana haita jirudia.
imetolewa na www.zayoce.blogspot.com
No comments:
Post a Comment