KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Saturday, October 29, 2011

EAST OR WEST HOME IS BEST. THE ONE NIKIWA HOME.

Jamani msahau kwao mtumwa hapa ndio nyumbani na nikiwa napitia pitia baadhi ya makaratasi kwa ajili ya kazi.

hii ndio liblary ambayo ina kaa vitabu kama uonavyo nikiwa na weka baadhi ya nyaraka zangu za muhimu


wellcome home.

Monday, October 24, 2011

MTUME:PETER NYAGA, NEEMA MWAIPOPO, JANE MISSO NA JOSEPH NYUKI WAFANYA MAMBO MAPYA ZANZIBAR

Kama ilikawaida ya blog yangu hii hua ina kuleta mambo yangu na mambo mengine yanayo husu jamii bila ya kusahau  gospel yaani  wasanii wa nyimbo za Ijili.  Hii haijawahi kutokea hapa kisiwani watu kuhudhuria katika mkutano wa ijili kama hivi. kwakweli wasanii tupo juu maana wasanii wa nyimbo za injili wamekiteka kisiwa hiki kwa kumiminina watu katika uwanja wa tumbatu uliopo hapa Zanzibar. JOSUPH NYUKI, NEEMA MWAIPOPO na JANE MISSO wame ikama ta Zanzibar wakifuanata na mtume PETER NYAGA.
                                    
umati wa watu ulio kusanyika katika mkutano huu ambao ulifanyika kuanzia tarehe 21-23mwezi huu huu wa kumi mwaka 2011


jamani hii ni Zanziamakweli mambo yana badilika
picha hii nilipigwa kwa kustukizwa maana nilikua mshamba kwa kuona umati kama huu kwangu ilikua ni ajabu kwa mambo haya kutokea kisiwani hapa.
mtume Nyaga akiwaombea watu.
mzee akitoa mambo kwa msisitizo
mtume Nyaga ndo huyu hapa akiwa jukwaani Zanzibar
huyooooooo
tabasam kidogo


IKAFIKA ZAMU YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI YAANI WASANII

tutake tusitake wasanii tuna hitajika tu maana licha wa mahubiri watu pia wali fuata wasanii wa nyimbo za ijili ndio maana uwanja ukajaa hivyo na kwakweli walitenda haki
Neema Mwaipopo na Jane Misso wakipagawisha watu jukwaani
Mwaipopo akiwaimbia "Jamani rahaaaa jipemwenyeweeeeee" iliku asio mchezooo
Jane misso akirudi kukaa
waandishi wa habari pia walikuwepo
kitu kilikwenda mpaka usiku hapa Nyuki ndo alisimama kwa ajili ya kuimba watu walipiga kelele na wengine kukanyagana kwaajili ya kuona manjonjo ya huyu bwana. kama huja wahi kumuona jukwaani basi pole na utakapo muona uniambie. kweli sanaa ni kipaji toka mouoni
akianza manjonjo
haya atayari ana anza huyooo
ilikua tayari usiku ila watu walikomaa kuangalia shoo hao ni baadhi ya wachungaji na huyo mwenye suti nyeupe ni Askofu wa makanisa ya kipentekoste Zanzibar Bishop: Obeid.
weweeeee
huyu ndio Joeph Nyuki
"Jamani mabo" sio mimi ni Nyuki

Wednesday, October 19, 2011

MSANII ALIE CHEZA KATIKA TAMTHILIA YA ISIDINGO ATUA ZANZIBAR.

Kwa wale ambao wana penda kuangali chanel ya ITV basi sio wageni wa kusikia na kuona tamthilia hii ya isidingo. The one nimekua na msanii alie shiliki katika tamthilia hio katika mwaka wa 1999 mpaka 2003 na nili pata muda wa kuzungumza nae pamoja na kubadilishana uzoefu wa hapa na pale maana sanaa kila siku ina panuka.
Huyu ndio Lukas kutoka South Africa akiwa yuko home baada ya kufika siku ya jumamosi hii na kutua hapa kisiwani, alikuja na wezake watatu na yeye akiwa wanne ila katika hao alio kuja nao mmoja ni mchungaji wake.

akipata picha ya kumbukumbu na mdogo wangu ambae ni mpiga muziki wa bendi ya coconut ana jiita Luck boy. kama unavyoona wakiweka peace.

hawab ndio alioongozana nao katika ujio wake. huyo wa kushoto ni mke wa mchungaji wake wakati yeye alikuja kuiona zanzibar wakulia yeye ni kaka yangu wa hapa hapa nchini.

huyu ndio mchungaji wake akiwa ana pakua menu kidogo.

Lucas akitoka kuchukua menu

akipata picha na THEONE

Picha kidogo na Happy kama unavyoona wote rasta.

Namimi the one nikiweka kumbukumbu na msanii huyu kutoka South Africa mda kidogo ujao anaweza kucheza film hapa nchini kwa kushilikishwa na kundi la Extra genius wadau tuombe tua hizo zikamilike.

Tuesday, October 11, 2011

HIZI NDIZOCAMERA ZINAZO FAA KWA KUSHOOT MOVIE

Hii ndio camera aina ya HDV, SONY ambayo hutumiwa sana na wasanii wanchini kwa kushoot movie zao na kwakweli ikojuu kibongo bongo.
Ukiwa ume nunua mpya inatakiwa iwe imekamilika namnahii.kila kitu kama unavyona kimekamilika.

huu nimtambomwengine ambao pia ni HDV, ilani aina ya CANOON hapa nchini sio wengi wanao tumia

mtambo ukiwa umekamilika na kila kitu chake kama uonavyo
nahii pia ni HDV, hapa ikiwa tayari kwa kazi.

Monday, October 3, 2011

KUNDI LA SANAA ZANZIBAR. (EXTRA GENIUS ARTS GROUP) LATAFUTA WADHAMINI.


    kundi la sanaa lililoko hapahapa kisiwani Zanzibar lililo anza rasmi shughuli zake katika mwaka wa 2009 na kufanya vizuri tu katika ulimwengu wa sanaa hasa upande wa tasnia ya film na shughuli za kijamii sasa limeonesha na kutangaza hua lina hitaji wadamini kwa ajili ya kuendeleza shughuli zake za kila siku.
hapa ndipo kundi hili lilipo anza mazoezi kama unavyo ona watu wakinywa script

vijana wakiwa katika mazoezi ila kama wako on air si unaona kwa msisitizo kipindi hicho lakini

jamani hapa ndio sehemu kundi ilipo anza ila hii ilikua sehemu ya pili sehemu ya kwanza kundi lilipo anza sikubadatika kupata picha zake.

baadae ofisi ikahamia hapa. kama mnavyoona The one nikiwa katika pozi.

The one nikiwa katika ofisi hio kipindi hicho kama unavyo ona pozi hiloooo. ila baadae wadhamini walio kua wakidhamini waka stop na kundi kujitegemea lenyewe ndipo likaanza kwa kutoa film yake yakwanza iitwayo MBASHO

hii ndio MBASHO
moja ya sine katika movie hio

sasa kundi lilipo na hapa ilikua katika maandalizi ya movi mpya ambayo iko inakuja hivi karibuni

Halikuniki moja ya wasanii maarufu Zanzibar nae yumo ndani

kama utakua unapenda kuwekeza na kusaidia kundi hili pamoja kuinua sana hapanchini kwa kuwapatia ajira vijana ambao wanajishughuliswa wenyewe kwa kutoa burudani kuelimisha jamii. Sasa kundi hili linakukalibisha na linapatikana Mbweni Zanzibar ndipo offisi za kundi hili zilipo. mawasiliano. piga +255655701006 or email: emmanuel.obeid@gmail.com



DAY OUT YA PONGWE ILIVYO FANA

vijana wakipata picha ya kumbukumbu wakiwa katika pozi huko Pongwe walipo kwenda day out baada ya mechi ilio chezwa dhidi ya town star na extra ginius na extra kushinda 3:1

vijana wakaingilia kati kwa kupata kumbukumbu huku madada wakipakua biriani kwa utuo kabisa

vijana wakiwa ndani ya ufukwe wakila rahazao

hahaaaa hii nio Zanzibar



NIMEIPENDA PICHA HII