KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Monday, October 3, 2011

KUNDI LA SANAA ZANZIBAR. (EXTRA GENIUS ARTS GROUP) LATAFUTA WADHAMINI.


    kundi la sanaa lililoko hapahapa kisiwani Zanzibar lililo anza rasmi shughuli zake katika mwaka wa 2009 na kufanya vizuri tu katika ulimwengu wa sanaa hasa upande wa tasnia ya film na shughuli za kijamii sasa limeonesha na kutangaza hua lina hitaji wadamini kwa ajili ya kuendeleza shughuli zake za kila siku.
hapa ndipo kundi hili lilipo anza mazoezi kama unavyo ona watu wakinywa script

vijana wakiwa katika mazoezi ila kama wako on air si unaona kwa msisitizo kipindi hicho lakini

jamani hapa ndio sehemu kundi ilipo anza ila hii ilikua sehemu ya pili sehemu ya kwanza kundi lilipo anza sikubadatika kupata picha zake.

baadae ofisi ikahamia hapa. kama mnavyoona The one nikiwa katika pozi.

The one nikiwa katika ofisi hio kipindi hicho kama unavyo ona pozi hiloooo. ila baadae wadhamini walio kua wakidhamini waka stop na kundi kujitegemea lenyewe ndipo likaanza kwa kutoa film yake yakwanza iitwayo MBASHO

hii ndio MBASHO
moja ya sine katika movie hio

sasa kundi lilipo na hapa ilikua katika maandalizi ya movi mpya ambayo iko inakuja hivi karibuni

Halikuniki moja ya wasanii maarufu Zanzibar nae yumo ndani

kama utakua unapenda kuwekeza na kusaidia kundi hili pamoja kuinua sana hapanchini kwa kuwapatia ajira vijana ambao wanajishughuliswa wenyewe kwa kutoa burudani kuelimisha jamii. Sasa kundi hili linakukalibisha na linapatikana Mbweni Zanzibar ndipo offisi za kundi hili zilipo. mawasiliano. piga +255655701006 or email: emmanuel.obeid@gmail.com



DAY OUT YA PONGWE ILIVYO FANA

vijana wakipata picha ya kumbukumbu wakiwa katika pozi huko Pongwe walipo kwenda day out baada ya mechi ilio chezwa dhidi ya town star na extra ginius na extra kushinda 3:1

vijana wakaingilia kati kwa kupata kumbukumbu huku madada wakipakua biriani kwa utuo kabisa

vijana wakiwa ndani ya ufukwe wakila rahazao

hahaaaa hii nio Zanzibar



NIMEIPENDA PICHA HII

No comments:

Post a Comment