KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Monday, October 24, 2011

MTUME:PETER NYAGA, NEEMA MWAIPOPO, JANE MISSO NA JOSEPH NYUKI WAFANYA MAMBO MAPYA ZANZIBAR

Kama ilikawaida ya blog yangu hii hua ina kuleta mambo yangu na mambo mengine yanayo husu jamii bila ya kusahau  gospel yaani  wasanii wa nyimbo za Ijili.  Hii haijawahi kutokea hapa kisiwani watu kuhudhuria katika mkutano wa ijili kama hivi. kwakweli wasanii tupo juu maana wasanii wa nyimbo za injili wamekiteka kisiwa hiki kwa kumiminina watu katika uwanja wa tumbatu uliopo hapa Zanzibar. JOSUPH NYUKI, NEEMA MWAIPOPO na JANE MISSO wame ikama ta Zanzibar wakifuanata na mtume PETER NYAGA.
                                    
umati wa watu ulio kusanyika katika mkutano huu ambao ulifanyika kuanzia tarehe 21-23mwezi huu huu wa kumi mwaka 2011


jamani hii ni Zanziamakweli mambo yana badilika
picha hii nilipigwa kwa kustukizwa maana nilikua mshamba kwa kuona umati kama huu kwangu ilikua ni ajabu kwa mambo haya kutokea kisiwani hapa.
mtume Nyaga akiwaombea watu.
mzee akitoa mambo kwa msisitizo
mtume Nyaga ndo huyu hapa akiwa jukwaani Zanzibar
huyooooooo
tabasam kidogo


IKAFIKA ZAMU YA WAIMBAJI WA NYIMBO ZA IJILI YAANI WASANII

tutake tusitake wasanii tuna hitajika tu maana licha wa mahubiri watu pia wali fuata wasanii wa nyimbo za ijili ndio maana uwanja ukajaa hivyo na kwakweli walitenda haki
Neema Mwaipopo na Jane Misso wakipagawisha watu jukwaani
Mwaipopo akiwaimbia "Jamani rahaaaa jipemwenyeweeeeee" iliku asio mchezooo
Jane misso akirudi kukaa
waandishi wa habari pia walikuwepo
kitu kilikwenda mpaka usiku hapa Nyuki ndo alisimama kwa ajili ya kuimba watu walipiga kelele na wengine kukanyagana kwaajili ya kuona manjonjo ya huyu bwana. kama huja wahi kumuona jukwaani basi pole na utakapo muona uniambie. kweli sanaa ni kipaji toka mouoni
akianza manjonjo
haya atayari ana anza huyooo
ilikua tayari usiku ila watu walikomaa kuangalia shoo hao ni baadhi ya wachungaji na huyo mwenye suti nyeupe ni Askofu wa makanisa ya kipentekoste Zanzibar Bishop: Obeid.
weweeeee
huyu ndio Joeph Nyuki
"Jamani mabo" sio mimi ni Nyuki

No comments:

Post a Comment