Ndugu wadau wangu samahanini sana kwa kua kimya kwa kipindi kifupi hiki mmnapo tembelea blog hii mnakuta hakuna jipya hii ilitokana na safari pamoja na kazi ambayo ilinifaya nikawa bz. Ila kwa sasa endelea kutembalea blog hii maana kuna mambo mapya ambayo yana kujia. Narudia samahanini sana.
MAAFARI ya kumaliza masomo ya theologia ambayo yalifanyika kwa kipindi cha miaka minne yali fana sana ambapo mama yangu mzazi ambae pia alikua ni mmoja ya wanafuzi ali kuwepo katika kupokea shahada yake.
MAAFARI ya kumaliza masomo ya theologia ambayo yalifanyika kwa kipindi cha miaka minne yali fana sana ambapo mama yangu mzazi ambae pia alikua ni mmoja ya wanafuzi ali kuwepo katika kupokea shahada yake.
Hapa wakiwa wanaingia ukumbini wapili kutoka kushoto huyo ndio mamaaa
Haoo wakiwa na furaha tele usisahau ni watatu sasa kutoka kushoto
Hapo ndio wamefika na wanajipanga kama walivyo fundishwa chuo
Akiwa ametulia kwa makini kabisa bila hata ya wasiwasi eeeee. mama huyo
Ukumbi ulivyo kua
Ikisomwa lisala kwa mgeni Rasmi alie toka katika ofisi ya Rais wa selikali ya mapinduzi ya Zanzibar
wanafunzi wakiaanza kupokea shahada zao
eEEE akipata hakiyake alio ihangaikia kama uonavyo tabasama ya kikweli
akipokea kwa utuo zaidi
Akivikwa shada ya maua kwa pongezi.
Akiwa na mkwewake yaani mke wa kaka yangu akimpa pongezi maana na yeye pia alikuwepo katika sherehe hio.
wana familia wakipata picha ya pamoja kushoto ni kaka yangu na kulia ni mama yangu.
HOGERENI SANAA
lucky boy akiweka kumbukumbu
Picha ya kumbukumbu hawa wote ni watoto wa mama ambao wote walikuja kusherehekea pamoja kwa kumaliza masomo kwa mama yetu mpenzi.
Mama honhera na tunakupendasana tenasana na zaidi ya sana Mungu akulinde na sisi watoto wako tuko pamojanawe.
No comments:
Post a Comment