KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Wednesday, September 18, 2013

LAUNCHED OF DINA MOBILE CLINIC IN ZANZIBAR

We thanks God couse the oparation of doing mobile clinic for the fast time went well and people got madicine and meet with doctor. We bilieve this clinic is going to be a result of
prayers of many peole of Zanzibar. We launch thi at one of our village called JUMBI.
 Hapa tukiwa tunajitayarisha kwa ajili ya kuanza kuadikisha watu kwa ajili ya kupata huduma ya clinic. kwa upande wa uandikishaji linikuwepo mimi mwenyewe na Anger. na mambo yalikwenda vizuri sana.
 Pozi kidogo kabla ya kuanza kazi
 kama uonavyo nyuma watu walivyo na sisi tukiwa tumejipanga vizuri kwa ajili ya kutoa huduma inayo stahiki.

 Anger katika pozi.
 Kazi ikaanza rasmi.
 "Unakaa shehia gani" Ndio swali alilo kua akiuliza Anger hapa.
 Dada Tatu naye ni mmoja kati ya watu tulio kua tukisaidiana nao. Yeye ni mkaazi wa hukohuko.
 Kazi imechanganya sasa.
 Kawa umakini na ufasaha watu tuna piga mzigo wa kijamii
Kila mtu bize.
 

 Watu walikua wengi sana mpaka madaftari yote tulio kuanayo yakaisha na kuagizwa mengine.
 Tukiwasikiliza watu kwa makini sana.
 Wamama walikuja na watoto wao sasa jinsi ya kujieleza ilikua di tabu sana ila Mungu alitusaidia.
 Hapa madaftari yalikua yanaanza kutuishia.
Tukiwa tumesubiri madaftari mengine na tayari yamesha fika.
 Kazi inaendelea
 Jackson Lumonge kijana wa usalama, akiwa katika pozi ya kumbukumbu
 "Safi sanaaaaaaaaaaaaa"
 Baadae watu walianza kupungua.
 Tatu nae akiwajibika.
Kama kawaida yangu wakati wa kazi kazi tu.
 Anger naye akiwajibika,

 Ndani ya hema Mkurugenzi akiwa anahakiki kama mambo nakwenda sawasawa
 Kwambali kido tulionekana hiviii.
 Mkurugenzi wa DINA hapa Zanzibar (alie vaa camera) akiwa anaangalia jinsi watu walivyo na mpangilio mzima. kushoto ni msaidizi wake.
 Madaktari wengie wakiwasili.
 Wana kijiji wakisubiri tiba.
 Mijadala ya hapa na pale
 Kai ilienda mpaka jioni.
 Nikiangalia kitu fulani.
 Anhaaaaaa! nimekipata.
 Nyuma ni moja ya wasaidizi wa maendeleo kutoka Marekani akichukua baadhi ya picha.
 Kuna kitu kilinishangaza.
 Tumehudumia watu wengi sana na hapa tuko tuna angalia sm zetu tuna kuta ma misscall ya kumwaga, sms kibao, ukiangalia kwenye FB, twitta na what app usiseme.
 Jackson Seleli dereva wetu.
 Jion kwenye mida ya kuanzia kumi na nusu watu wengie tena haooooooooo!
 Kazi ikaanza tena
 Ndani ya hema ndipo dawa na madockta walipo patikana
 Madokta wakishika nafasi zao
 Wagonjwa wakionana na Docta
 mambo yakienda.
 Utaratibu ulikua mzuri sana yani una tibiwa huku unafuraha.
 Madaktari wakiwa wameshika nafasi zao.
Tukiwa tuna malizia malizia

 Kazi ikiwa imekwisha nasi tukikusanya kusanya kila kilichokua chetu ili tuondoke
 Kwakweli tunamshukuru Mungu tulianza vizuri na mpaka tunamaliza mambo yote yalikwenda vizuri sana.


No comments:

Post a Comment