Kutokana na uhusiano wangu na jamii na hasa kwenye upande wa kazi yangu. wiki hii tulikwenda kutembelea kituo cha afya cha Fuoni hapa Zanzibar na kuangalia huduma ambazo zina tolewa katika kituo hicho. jiunge nami kwa kupata picha kidogo.
Hapa ni kwenye chumba cha docta. kama mtu amekuja na anataka kuangaliwa vizuri ana takiwa apumzike kwenye itanda hicho kilichopo kulia.
Tukiwa kwenye kordoo ya hospitali hii tukijadiliana mawili matatu.
Angela (partner) wangu katika kazi akitu eleza kitu.
Tukiingia chumba kingine. Watu walikua niwengi wakisubiri matibabu.
Tukiingia katika chumba cha watu wanao taka kuangaliwa damu.
Tuna sikiliza maelekezo toka kwa daktari.
Judith ( mgeni toka holland) tulie ambatana nae akijaribu kuchukua kumbukumbu
Kazi ikiendelea ........ lakini hakuta kitu kinacho weka mtu biz kama simu jamaniiiii!!!!
Dokta bi Salma akiwa ametufikisha katika sehemu ya kupima pressure na maradhi mengine.
Eeeeee! The one mwenyewe nikiwa katika pozi la kuingia katika chumba kingine.
Sehemu ya madawa.
Jaman madaktari wapo biz sana yaani mpaka unawaonea huruma.... lakini ndo wito.
Kwa doctor hapo.
Tukipata maelezo ya undani kabisa.
Chumba cha maabara hichoooooooo!
Kuna vyumba vingine vina tisha mimi nabaki nyuma maana yaliomo ni makubwa sana.
Folen ya watu kwenda kumuona daktari
Sehemu ya kuandikiwa dawa.
Kuna jambo ambalo lilikua very serious tukilijadili juu ya hospitali hii.Na hapa nikiwa mimi kulia Angela, anae fuata anaitwa Baraka pia mfanya kazi mwenzangu na wageni tulio kujanao.
Tuli bahatika kuingia katika chumba cha wazazi ( sehemu ya kujifungulia ) na kwabahati tuka muta mama moja akiwa amejifungua mapacha.
Doctor akitueleza juu ya huyu mama, kama umuonavyo akiwa bado hajawa sawa na akiwa na aibu.
Akiwa amekumbalita kitoto cake cha kiume maana ame jifungua mapacha ila ni wakike na wakiume.
Kakike hakoooooooo! yaani hadi raha, kame tulia kabisa kako kana tafakari dunia itakuaje baadae.
Hongera sana mama.
Hapa ni nje tayari kwa kuondoka.
No comments:
Post a Comment