KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA EMMANUEL
every successful person has a painful story and every painful story has a successful ending

Wednesday, April 4, 2012

THE ONE NIKIWA NA WAGENI TOKA UJERUMANI WAKIWA ZANZIBAR KWA KAZI ZA KIJAMII

We have got a volunteer who come to help the social service here in Zanzibar in the section of Education. So this is the first day when we go  Frola nursery and primary school to introduce the new teacher from Germany.
Tulipta marafiki wa kujitolea katika kazi za kijamii hasa katika upande wa elimu hapa Zanzibar. Nahii ndio ilikua siku ya kwanza tulipo kwenda katika shule ya Frola nursery and primary school kwa ajili ya utambulisho wa waalimu wapya kutoka Ujerumani.


Look the kids and class are full and there happy to  see new teachers.
Ona watoto walivyo jaa na wakiwa nafuraha ya kuona walimu wapya toka mamtoni.
Yosia one of the student read the history of the school
Yosia mmoja ya wanafunzi akitoa lisala ya shule.
The teachers make sure that the silent are available.
Kama kawaida yetu waswahili lazima waalimu tunze ukimya.

Here is the special song which student sing for new teachers.
Hapa ulikua wimbo maalum wanafunzi waliimba kwa ajili ya waalimu wapya.
High table me The one and Celine and Elaha new teacher.
Meza kuu mwenyewe The one nikiwa na wageni wawili Celine na Elaha 
Then the new teacher got the gift of equipment which they can use to teaching.
Baadae ndipo walimu wapya wakapata zawadi ya vifaa vya kuanzia kufundishia
 

At the end we gat a photo of memory as you see Philemon left sidethe director of Kahya in Zanzibar .
Mwishoni tuka pata picha za kumbukumbu kama umuonavyo Philemon mkurugenzi wa Kaya akiwa kushoto


.

WAGENI TOKA UJERUMANI WAKIWA WAKO KAZINI.


Teacher celine on the subject without jock.
Mwalimu Celine akifundisha bila ya utani
Elaha make sure kids under standing.
Elaha akihakikisha watoto wana fahamu
This is how the new teacher worked.
Hivi ndivyo walimu wapya walivyokua waki fanya kazi.
For sure they are good teachers.
Kwakweli niwaalimu wazuri
Memory.
Kumbukumbu kidogo












No comments:

Post a Comment